tmoja2

Baraka The Prince ‘apost’ nyumba yake na ‘kuwadiss’ mashabiki wanaosema hana kitu

3954
0
Share:
Share this
tmoja2

Mwanamuziki Baraka The Prince hivi karibuni aligonga vichwa vya habari hasa katika mitandao ya kijamii nchini baada ya kuwa kwenye mvutano na mchekeshaji Stan Bakora aliyejipaka majivu akiigiza weusi wa Baraka.

Baraka alisema kuwa hata kama ni utani, ukizidi yeye hawezi kuvumilia na ‘anakuchana’ hapo hapo.

Achia mbali hiyo, Baraka The Prince alikuwa kwenye mvutano na mashabiki wake ambao amesema wana maneno mengi huku wakihoji kuwa msanii huyo ana nini?

Kujibu swali la mashabiki hapo, Baraka The Prince ameweka video za nyumba yake mpya mtandaoni na kuwaambia mashabiki wake kuwa hicho ndichi alichonacho yeye. Tazama video hapa chini

Comments

error: Content is protected !!