-
Picha: Kinachojiri katika ukumbi wa harusi ya alikiba
Leo ndiyo siku ambayo msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Aly Kiba amefunga ndoa na mpenzi wake Aminah Rikesh ambaye ni ... -
PICHA: Alikiba afunga ndoa jijini Mombasa
Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera. ... -
Diamond azuiwa kusafiri nje ya nchi, passport yake yashikiliwa
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es SAlaam, limewatia mbaroni na kuwahoji wasanii watatu wa Bongo Fleva, akiwamo nyota ... -
Serikali ‘yawabananisha’ Diamond na Nandy
Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe, amesema msanii Diamond Platnumz alikamatwa jana kwa makosa ya kusambaza picha zilizokosa maadili mitandaoni na ... -
Nandy na Bilnass watua mikononi mwa BASATA
Serikali imeanza mchakato wa kumchukulia hatua nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy baada ya kusambaa mtandaoni kwa video inayomuonesha ... -
Nandy ataja chanzo cha video yake na Bilnass kusambaa mitandaoni
Tangu jana mchana, gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii ni video ya mambo ya chumbani ya mwanamuziki Nandy na Bilnass ... -
Diamond Platinumz aweka wazi mipango yake ya ndoa
Msanii wa muziki mwenye mafanikio makubwa hapa nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ ameweka wazi mipango yake ya ndoa huku akiomba ... -
Roma Mkatoliki afungiwa kufanya muziki miezi 6, Nay wa Mitego aonywa
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za ... -
Shilole ahukumiwa kulipa faini ya mamilioni
Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya Kinondoni, Jijini Dar es Salaam imemhukumu msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena ... -
Wolper aweka wazi orodha ya wanaume wanaomtaka
Muigizaji mashuhuri wa filamu Bongo na mfanyabiashara maarufu, Jacqueline Wolper amefunguka na kusema hajawahi kuumizwa na mapenzi hata siku moja ...