tmoja2

Gharama iliyokuwa ikitumika kumlinda faru John kwa siku moja alipokuwa hai

266
0
Share:
Share this
tmoja2

Wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kaburi la faru John lifukuliwe na kuchukuliwa vipimo vya vinasaba kuthibitisha kama pembe alizopelekewa ni zake, mabaki yanayoaminika kuwa ni ya mnyama huyo yameonekana yakiwa porini katika eneo la Grumeti, wilayani Serengeti alipofia.

Vilevile, gazeti la Mwananchi limebaini kuwa kabla ya kifo chake, faru John alikuwa akitumia kiasi cha TZS 225,000 kama gharama ya ulinzi kila siku.

Faru John alihamishiwa Grumeti, Desemba 17, mwaka jana na kufa Agosti 18, mwaka huu katika mazingira yanayodaiwa kuwa tata.

Comments

error: Content is protected !!