tmoja2

Inazunguka WhatsApp: Vitu 10 ambavyo Wanawake wamewazidi Wanaume

429
0
Share:
Share this
tmoja2

1. Wana nguo nyingi kuliko Wanaume.

2. Wanafahamu nani ni Baba halisi wa watoto wao.

3. Ni wepesi kupenda na wakipenda hupenda kweli.

4. Wanaoga mara nyingi zaidi kwa siku.

5. Wana huruma sana ingawa mara nyingi huwa inawaponza.

6. Wana uwezo wa kubadilisha tabia ya mwanaume muda wowote.

7. Wana uwezo wa kuishi na kupendeza bila kuwa na kazi wala biashara yoyote.

8. Kwao nywele na kucha ndo vitu vya kwanza kufikiria wakitaka kutoka.

9. Wana uwezo wa ku-pretend kwa muda mrefu zaidi hasa kwenye mapenzi.

10. Hawapendi pesa

? ndugu zangu hiyo number 10 imekosewa …..?????

Comments

error: Content is protected !!