Isome hapa barua ya Jerry Muro akiomba TFF kumpunguzia adhabu aliyopewa

478
0
Share:
Share this
CMTL Group

Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro leo ameandika barua kwenda Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) akiomba kupunguziwa adhabu aliyopewa ya kutojihushisha na mpira wa miguu kwa mwaka mmoja.

Jerry Muro alipewa adhabu hiyo Julai mwaka jana kufuatia matumizi mabaya ya lugha. Hadi sasa ametumikia adhabu hiyo kwa miezi sita na anaomba kupunguziwa adhabu ili aweze kurejea katika kazi yake.img-20170105-wa0069

Comments

error: Content is protected !!