Itazame video mpya ya Snura- Shindu (Official Video)

824
0
Share:
Share this

Baada ya kutesa sana kwenye anga za muziki na wimbo wake wa Chura hadi kufikia kufungiwa na BASATA, Mwanamuziki Snura maarufu Snura Majanga ametoa video ya wimbo wake wa Shindu. Itazame hapa chini.

Comments

error: Content is protected !!