tmoja2

Kikosi cha Yanga kitakachovaana na Azam leo jioni

1097
0
Share:
Share this
tmoja2

Kikosi cha Yanga kitakachovaana na Azam katika mchezo wa Ngao ya Jamii leo saa kumi jioni.

Kikubwa cha kufahamu kabla ya mchezo wa leo ni kuwa, Yanga na Azam zimekutana mara 25, Yanga ikiwa imeibuka na ushindi mara 10, Azam mara 8 na zimekwenda sare mara 7. Mchezaji wa Azam, John Bocco ‘Adebayor’ ndiye anaongoza kwa kufunga magoli timu hizi zinapokutana akiwa amefunga magoli 10.

 1. Deogratius Bonaventura Munishi ‘Dida’
 2. Hassan Ramadhan Kessy ‘Alves’
 3. Haji Mwinyi Ngwali ‘Marcelo
 4. Mbuyu Junior Twite ‘Chuma’
 5. Vincent Bossou ‘Kaka Jambazi’.
 6. Said Juma Makapu.
 7. Haruna Niyonzima ‘Fabregas’
 8. Juma Mahadhi ‘Neymar’.
 9. Thaban Michael Kamusoko ‘Fundi’
 10. Amissi Jocelyn Tambwe
 11. Donald Dombo Ngoma.AkibaBenno Kakolanya
  Oscar Joshua
  Deus Kaseke
  Simon Msuva
  Malimi Busungu
  Matheo Anthony
  Pato Ngonyani.

Comments

error: Content is protected !!