Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini na mshindi wa Olimpiki afunga ndoa ya jinsia moja

820
0
Share:
Share this
CMTL Group

Mwanariadha maarufu wa Afrika Kusini na mshindi wa medali ya dhahabu ya michuano ya Olimpiki mita 800 kwa wanawake, Caster Semenya amefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wake, Violet Raseboya.

The gold medallist was pictured in a dark blue suit embroidered with gold

Wawili hao wamefunga ndoa ya kifahari ambapo siku hiyo Semenya alikuwa anatimiza umri wa miaka 26. Katika sherehe hiyo Semenya aliyevalia kama mwanaume alivaa koti lenye urembo kama mtoto wa mfalme.

They later changed into traditional outfits for a dance at their reception

Ndoa hiyo imefungwa jana Pretoria, Afrika Kusini ikiwa ni mwaka mmoja tangu wawili hao walipofunga ndoa ya kimila Disemba 2015.

Comments

error: Content is protected !!