Orodha ya washindi tuzo za The Golden Globe makala ya 74

Hii hapa ni orodha ya washindi na waliokuwa wanashindania tuzo kuu za filamu na televisheni nchini Marekani za Golden Globe makala ya 74.
Washindi wa tuzo hizo, makala ya 74, wametangazwa kwenye hafla iliyofanyika mjini Los Angeles.
Filamu ya vichekesho yenye mtungo wa muziki ‘La La Land’ imeshinda tuzo saba.
Damien Chazelle alishinda tuzo ya mwelekezi bora wa filamu hiyo nao Ryan Gosling na Emma Stone wakishinda tuzo ya waigizaji bora wa kiume na kike mtawalia.
Filamu ya Moonlight ilishinda tuzo ya filamu bora zaidi.
Casey Affleck ameshinda mwigizaji bora katika vipindi vya Televisheni kwa uigizaji wake Manchester by Sea.
Isabelle Huppert aliyecheza filamu ya Kifaransa ya Elle ameshinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike.
Filamu
Filamu bora zaidi – Igizo
- Mshindi: Moonlight
- Hacksaw Ridge
- Hell or High Water
- Lion
- Manchester by the Sea
Filamu bora zaidi – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: La La Land
- 20th Century Women
- Deadpool
- Florence Foster Jenkins
- Sing Street
Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika filamu – Igizo
- Mshindi: Casey Affleck – Manchester by the Sea
- Joel Edgerton – Loving
- Andrew Garfield – Hacksaw Ridge
- Viggo Mortensen – Captain Fantastic
- Denzel Washington – Fences
Mwigizaji bora zaidi wa kike katika filamu– Igizo
- Mshindi: Isabelle Huppert – Elle
- Amy Adams – Arrival
- Jessica Chastain – Miss Sloane
- Ruth Negga – Loving
- Natalie Portman – Jackie

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika filamu – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: Ryan Gosling – La La Land
- Colin Farrell – The Lobster
- Hugh Grant – Florence Foster Jenkins
- Jonah Hill – War Dogs
- Ryan Reynolds – Deadpool
Mwigizaji bora zaidi wa kike katika filamu – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: Emma Stone – La La Land
- Annette Bening – 20th Century Women
- Lily Collins – Rules Don’t Apply
- Hailee Steinfeld – The Edge of Seventeen
- Meryl Streep – Florence Foster Jenkins
Mwigizaji msaidizi bora zaidi wa kiume
Mshindi: Aaron Taylor-Johnson – Nocturnal Animals
- Mahershala Ali – Moonlight
- Jeff Bridges – Hell or High Water
- Simon Helberg – Florence Foster Jenkins
- Dev Patel – Lion
Mwigizaji msaidizi bora zaidi wa kike
- Mshindi: Viola Davis – Fences
- Naomie Harris – Moonlight
- Nicole Kidman – Lion
- Octavia Spencer – Hidden Figures
- Michelle Williams – Manchester by the Sea

Mwelekezi bora zaidi – Filamu
Mshindi: Damien Chazelle – La La Land
- Tom Ford – Nocturnal Animals
- Mel Gibson – Hacksaw Ridge
- Barry Jenkins – Moonlight
- Kenneth Lonergan – Manchester by the Sea
Uigizaji bora zaidi – Filamu
- Mshindi: Damien Chazelle – La La Land
- Tom Ford – Nocturnal Animals
- Barry Jenkins – Moonlight
- Kenneth Lonergan – Manchester by the Sea
- Taylor Sheridan – Hell or High Water
Filamu bora zaidi ya katuni hai
- Mshindi: Zootopia
- Kubo and the Two Strings
- Moana
- My Life as a Zucchini
- Sing
Filamu bora zaidi ya lugha ya kigeni
- Mshindi: Elle
- Divines
- Neruda
- The Salesman
- Toni Erdmann
Midundo bora zaidi – filamu
- Mshindi: Justin Hurwitz – La La Land
- Hans Zimmer, Pharrell Williams, Benjamin Wallfisch – Hidden Figures
- Dustin O’Halloran, Hauschka – Lion
- Johann Johannsson – Arrival
- Nicholas Britell – Moonlight
Wimbo bora zaidi asilia – filamu
- Mshindi: City of Stars – La La Land
- Can’t Stop the Feeling – Trolls
- Faith – Sing
- Gold – Gold
- How Far I’ll Go – Moana

Televisheni
Mwendelezo bora zaidi wa filamu za televisheni – Igizo
- Mshindi: The Crown
- Game of Thrones
- Stranger Things
- This is Us
- Westworld
Mwendelezo bora zaidi wa filamu za televisheni – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: Atlanta
- Black-ish
- Mozart in the Jungle
- Transparent
- Veep
Mwendelezo mdogo bora zaidi wa filamu au filamu bora zaidi za televisheni
Mshindi: The People v OJ Simpson: American Crime Story
- American Crime
- The Dresser
- The Night Manager
- The Night Of

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo wa filamu za televisheni – Igizo
- Mshindi: Billy Bob Thornton – Goliath
- Rami Malek – Mr Robot
- Bob Odenkirk – Better Call Saul
- Matthew Rhys – The Americans
- Liev Schreiber – Ray Donovan
Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo wa filamu za televisheni – Igizo
- Mshindi: Claire Foy – The Crown
- Caitriona Balfe – Outlander
- Keri Russell – The Americans
- Winona Ryder – Stranger Things
- Evan Rachel Wood – Westworld
Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo wa filamu za televisheni – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: Donald Glover – Atlanta
- Anthony Anderson – Black-ish
- Gael Garcia Bernal – Mozart in the Jungle
- Nick Nolte – Graves
- Jeffrey Tambor – Transparent
Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo wa filamu za televisheni – Ucheshi au iliyowasilishwa kwa njia ya muziki
- Mshindi: Tracee Ellis Ross – Black-ish
- Rachel Bloom – Crazy Ex-Girlfriend
- Julia Louis-Dreyfus – Veep
- Sarah Jessica Parker – Divorce
- Issa Rae – Insecure
- Gina Rodriguez – Jane the Virgin

Mwigizaji bora zaidi wa kiume katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni
- Mshindi: Tom Hiddleston – The Night Manager
- Riz Ahmed – The Night Of
- Bryan Cranston – All the Way
- John Turturro – The Night Of
- Courtney B Vance – The People v OJ Simpson: American Crime Story
Mwigizaji bora zaidi wa kike katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni
- Mshindi: Sarah Paulson – The People v OJ Simpson: American Crime Story
- Felicity Huffman – American Crime
- Riley Keough – The Girlfriend Experience
- Charlotte Rampling – London Spy
- Kerry Washington – Confirmation
Mwigizaji bora wa kiume msaidizi katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni
- Mshindi: Hugh Laurie – The Night Manager
- Sterling K Brown – The People v OJ Simpson: American Crime Story
- John Lithgow – The Crown
- Christian Slater – Mr Robot
- John Travolta – The People v OJ Simpson: American Crime Story
Mwigizaji bora wa kike msaidizi katika mwendelezo mdogo wa filamu au filamu za televisheni
- Mshindi: Olivia Colman – The Night Manager
- Lena Headey – Game of Thrones
- Chrissy Metz – This is Us
- Mandy Moore – This is Us
- Thandie Newton – Westworld