Orodha ya washindi wa tuzo za FIFA zilizotolewa usiku Januari 9

533
0
Share:
Share this
CMTL Group

Leo Januari 9, 2017 Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) wametoa tuzo kwa wachezaji, timu na viongozi wengine mbalimbali waliofanya vizuri kwenye masuala ya mpira kwa mwaka 2016.

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ameendelea kuudhihirishia ulimwengu kuwa mwaka 2016 ulikuwa wake baada ya kutwaa tuzo ya FIFA ya mchezaji Bora wa Kiume.

Hapa chini ni orodha kamili ya washindi wote.

Comments

error: Content is protected !!