tmoja2

Picha 13: Mwanamuziki A.Y amuweka hadharani mke wake mtarajiwa

493
0
Share:
Share this
tmoja2

Kwa mara ya kwanza, mwanamuziki nguli wa nchini Tanzania, Ambwene Yessayah maarufu A.Y au Mzee wa Commercial amemtambulisha mke wake mtarajiwa.

AY kupitia ukurasa wake wa Instagrama ameweka picha ya mpenzi wake huyo ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa na kuandika, Happy Birthday my wife to be..I LOVE YOU SO MUCH na unajua ♥️♥️♥️♥️♥️♥️???? #MySade #KibokoYangu

5

AY amekuwa kwenye uhusiano na msichana huyu mwenye asili ya Rwanda tangu mwaka 2008 ambapo ni miaka 8 sasa. Katika picha nyingine A.Y ameandika “2008-2016 A trip down memory lane.. ?.”

Hii ni kwa mara ya kwanza A.Y anamuweka hadharani mpenzi wa huyo anayefahamika kwa jina la Remy.

3

Comments

error: Content is protected !!