Picha 5: Meli kubwa ya kisasa ya Azam ‘Azam Sea Link 2’ iliyowasili jana

1101
0
Share:
Share this
CMTL Group

Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEA LINK 2 aina ya RORO iliwasili katika bandari ya Zanzibar jana tayari kwa kuanza kazi ya kusafirisha mizigo pamoja na abiria.

Meli hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717, sambamba na magari 150 inatarajiwa kuanza kufanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Zanzibar.

Meli hii kwa kushirikiana na AZAM SEA LINK 1 na vyombo vingine vya usafrishaji vinatarajiwa kurahisisha safari kati ya pande hizi mbili na kuufanya kuwa wa salama na waharaka zaidi.

Hapa chini ni picha tano za meli hiyo kubwa na ya kisasa.

Image may contain: sky, outdoor and waterImage may contain: ocean, sky, outdoor and waterwhatsapp-image-2017-01-11-at-1-13-27-pm-1 whatsapp-image-2017-01-11-at-1-13-27-pm-2 whatsapp-image-2017-01-11-at-1-13-27-pm

Comments

error: Content is protected !!