Picha: Kampuni ya TTCL yazindua huduma ya 4G LTE Zanzibar

335
0
Share:
Share this
CMTL Group

Mapema leo hii mjini Zanzibar  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Ndugu Issa Usi Gavu akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Kampuni ya simu ya TTCL, Bw. Waziri Kindamba  wamezindua huduma ya 4G  LTE inayowezesha huduma ya mawasiliano ya sauti na data kwa haraka.

Uzinduzi huo uliofanyika leo, umeitambulisha huduma hiyo kutoka TTCL katika VVisiwa vya Zanzibar na kubeba kauli mbiu ya ‘Chei Chei, Zanzibar tumefanikisha’.

whatsapp-image-2017-01-11-at-16-05-50 whatsapp-image-2017-01-11-at-16-05-47 whatsapp-image-2017-01-11-at-16-05-47-1

Comments

error: Content is protected !!