Picha: Mshiriki aliyeiwakilisha Tanzania Big Brother (BBA) alivyoathiriwa na dawa za kulevya

579
0
Share:
Share this
CMTL Group

Watu wengi watamkumbuka Nando Khan kwani aliwahi kuwa kuiwakilisha Tanzania katika shindano la Big Brother Afrika mwaka 2013. Alipokuwa katika jumba hilo Ndando alidaiwa kuwa alilala na mrembo kutoka nchini Ghana, Selly Galley.

Hali ya Nando Khan kwa sasa ni ya kutisha kutokana na kuathirika na matumizi ya dawa za kulevya.

Nando si staa pekee wa bongo ambaye ameathiriwa na dawa za kulevya kwani Chid Benz naye hali yake si nzuri huku mwanamuziki Young D akidaiwa kuwa amerejea kwenye dawa za kulevya baada ya kuwa alikiri kuacha kutumia.

image.jpeg

Mastaa wengine wa bongo waliokiri kutumia dawa za kulevya na kuwa sasa wameacha ni pamoja na Q-Chief, Rehema Chalamila maarufu Ray C.

Comments

error: Content is protected !!