Ripoti: Asilimia 61 ya wahitimu wa Elimu ya Juu ni vilaza

352
0
Share:
udsm
Share this

Habari kutoka katika gazeti la JAMBOLeo ikionyesha kuwa uchunguzi uliofanyika umeonyesha kuwa asilimia 61 ya wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu ni vilaza. Soma ripoti kamili hapa.jamboleo 4

Comments