Rooney aweka rekodi Man United ikiizamisha Reading magoli 4-0

474
0
Share:
Share this
CMTL Group

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney ameweka rekodi mpya klabuni hapo wakati wakiizamisha Reading magoli manne kwa sifuri katika michuano ya kombe la FA.

Rooney aliihama Everton kwa kima cha pauni milioni 27 mwaka 2004

Rooney mwenye umri wa miaka 31, amefikia rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Sir Bobby Charlton tangu mwaka 1973 ambapo sasa ameifungia Manchester United Magoli magoli 249 katika michezo 543.

Wayne Rooney has equalled Sir Bobby Charlton's record as all time Manchester United scorer

Mwaka 2015 Rooney alivunja rekodi ya Charlton ya mabao 49 aliyoifungia timu ya Uingereza baada ya yeye kufikisha idadi ya magoli 53 kwa upande wa timu ya taifa.

Rooney was able to score the record equalling goal in front of the Old Trafford faithful

Rooney alijiunga na Manchester United mwaka 2004 akitokea klabu ya Everton kwa kitita cha Pauni milioni 27.

Comments

error: Content is protected !!