Tanzia: Msanii wa vichekesho Ismail Makombe afariki Dunia

449
0
Share:
Share this
CMTL Group

Tasnia ya sanaa nchini Tanzania imepata pigo jingine baada ya kumpoteza mmoja wa wasanii wa vichekesho nchini aliyefariki usiku wa kuamkia leo.

baba-kunda

Ismail Issa Makombe maarufu Baba Kundambanda amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake wilayani Masasi mkaoni Mtwara.

Ismail Makombe alikuwa mgombea Ubunge jimbo la Masasi kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka jana.

Comments

error: Content is protected !!