tmoja2

Ujumbe wa Lulu kwa mpenzi wake kwenye Birthday yake

8358
0
Share:
Share this
tmoja2

Leo Spetemba 9, ni siku aliyozaliwa Mmiliki wa kituo cha redio cha EFm na mpenzi wa muigizaji Elizabeth Michael maarufu ‘Lulu’. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Lulu ameandika ujumbe huu kwenda kwa mwandani wake huyo ambaye anaadhimisha miaka kadhaa.

Juhudi zako,uchapakazi Na ukarimu NI vitu vichache tu kati ya vingi ninavyojivunia na nakujifunza kutoka kwako….I think sisi NI perfect Combo???Nikiwa Mkubwa nataka kuwa Kama ww Boss wangu(I mean kuwa CEO na vitu Kama hvyo?)…Juhudi zako tunaziona,tuko nyuma yako Na tunakuombea Mafanikio zaidi Na zaidi…YESU WANGU akutunze kwaajili Yangu Na Familia yetu Kwa ujumla?
Happy birthday baba G….My successful ?
Cc @majizzo

Baada ya hapo aliweka video hii wakilishana keki wakati wa Birthday Party.

Earlier Today..!???? #instamsifutevideoyangubwana?

A video posted by Elizabeth Michael (@elizabethmichaelofficial) on

Comments

error: Content is protected !!