Ujumbe wa Wema Sepetu kwa mtoto wa Diamond Platnumz aliyetimiza mwaka mmoja leo

675
0
Share:
13722247_272946399748900_1624221049_n
Share this

Mtoto wa staa wa muziki wa Tanzania, Diamond Platnumz na mlimbwende Zari the Boss Lady (Latifah) leo Agosti 6 ametimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa. Miongoni mwa watu wengi waliomuandikia ujumbe mtoto huyo, ni pamoja na Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa zamani wa Diamond Platnumz. Yeye ameandika ujumbe huu kwa Latifah.

Huu ni ujumbe wa Nasib Abdul kwa mwanae, Latifah

Comments

error: Content is protected !!