tmoja2

Video: Aweka rekodi kwa kuruka km 7.62 kutoka kwenye ndege bila Parashuti

104
0
Share:
Share this
tmoja2

Mmarekani Luke Aikins, ameweka rekodi jana baada ya kuruka umbali wa futi 25,000 ambazo ni sawa na kilomita 7.62 kutoka kwenye ndege bila kutumia kiangushio (parashuti).

Luke alidondoka kwenye wavu uliokuwa umetegwa akiwa salama na baada ya hapo kutoka na kumkumbatia mkewe aliyekuwa anamuangalia pamoja na ndugu na watazamaji wengine.

Alipokuwa akipanda kwenye ndege, Luke alitakiwa kuvaa kiangushio lakini alieleza kuwa hata kama angevaa lakini asinge litumia.

Luke ameweka rekodi kwa kuruka umbali huo bila kutumia kiangushio na kutua akiwa salama.

Comments

error: Content is protected !!