Video: Eric Omondi arudia filamu ya ‘The Gods must be crazy.’ Itazame hapa

595
0
Share:
Share this
CMTL Group

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ambaye amekuwa akirudia nyimbo za wasanii mbalimbali zilizofanya vizuri, lakini sasa amekujia na kitu kingine tofauti ambacho hakika kitakuacha ukicheka sana.

Eric Omondi amerudia filamu ya ‘The Gods must be Crazy’ lakini yeye ameiita ‘The Gods are not crazy we are’. Inaweza kuitazama hapa chini.

Comments

error: Content is protected !!