Video: Gari likisombwa na maji wakati wa mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha nchini Congo

372
0
Share:
Share this
CMTL Group

Mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa wiki katikati  mji wa Bukavu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ilifanya uharibifu mkubwa sana wa mali na miundombinu na kusababishs vifo vya takriban watu 50 wamekufa na wengine maelfu kadhaa wameachwa bila makazi.

Tazama video ya gari lilivyosombwa na maji Mwanamke aliyekuwa ndani ya gari hilo alifariki dunia.

 

Comments

error: Content is protected !!