tmoja2

Video: Harmonize anatoka na Wolper? Tazama video Harmonize akimuimbia Wolper

523
0
Share:
Share this
tmoja2

Msanii Harmonize ambaye yuko chini ya lable ya Wasafi Classic Baby (WCB) inayomilikiwa na msanii Diamond Platnumz amezua gumzo baada ya video yake na Queen wa filamu nchini kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Video hiyo inamuonyesha Harmonize akiwa na Jackline Wolper ndani ya gari huku akiimbiwa wimbo wa Number One wa Diamond.

Video hiyo imezua maswali kama wawili hao kwa sasa wanatoka pamoja kwani itakumbukwa kuwa apo nyuma Diamond alishawahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wolper. Sasa je, Diamond amemuachia Harmonize nafasi? tutajua.

Itazame hapa video ya Harmonize akimuimbia Wolper.

 

Comments

error: Content is protected !!