Video: Je! Wapenzi wanapokwenda kwenye matanuzi, nani alipe gharama?

130
0
Share:
2
Share this

Mara nyingi watu wanapokuwa katika mahusiano, mwanaume ndiye huonekana kuwa  ana wajibu wa kugharamia karibia kila kitu huku mwanamke yeye akiwa mlaji tu.

Video hii hapa chini inaeleza nani anatwakiwa kulipa, je! ni mwanaume, mwanamke au wote? Itazame.

Comments

error: Content is protected !!