tmoja2

Video: Kampuni ya Japan yatengeneza kifaa kinachoweza kutumika kama mke

233
0
Share:
Share this
tmoja2

Kampuni moja nchini Japan imeanzisha kifaa chenye picha ya mwanamke anayeweza kutumika kama mke kwa wanaume wapweke.

Kifaa hicho kwa jina Gatebox kilichotengezewa vijana wapweke kina uwezo wa kuzungumza na hata kukuandikia.

Kifaa hicho hakitakuwa sokoni hadi mwishoni wa mwaka 2017, lakini tayari kimezua hisia kali miongoni mwa watu mbalimbali.

Comments

error: Content is protected !!