tmoja2

Video: Kilichomkuta Mkaliwenu msaka pilau leo Sikukuu ya Krismasi

383
0
Share:
Share this
tmoja2

Kuna msemo wa kiswahili husema kuwa sherehe ni watu, lakini watu tu bila chakula au vinywaji hiyo sherehe bado haijafana. Ikiwa leo ni Sikukuu ya Krismasi wale mabachela ambao kupika kwao ni vigumu husubiria mialiko kwenda kula ambavyo vipo tayari.

Kwa bahati mbaya kama hujapewa mualiko unaaza kujipitisha kwa marafiki kuona wamepika nini ili na wewe japo siku yako isiende tupu. Lakini yanaweza kukukuta kama yaliyomkuta Mkaliwenu msaka pilau. Tazama video hapa chini.

 

Comments

error: Content is protected !!