tmoja2

Video: Lema (Mb) na Meya wa Arusha walipokuta matofali yasiyofaa yakijengea nyumba

366
0
Share:
Share this
tmoja2

Video hii inaonyesha Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Mstahiki Meya wa jiji la Arusha pamoja na viongozi wengine walipokuwa wakikagua mradi wa maendeleo jijini Arusha.

Comments

error: Content is protected !!