tmoja2

Video: Mafuriko yawa mtaji wa fedha kwa baadhi ya watu Kenya

121
0
Share:
Share this
tmoja2

Wakati wakazi wengi wa Kenya waathirika na mvua ambayo imekuwa ikinyesha nchini humo kwa muda, kuna wengine waliigeuza kuwa njia ya kupatia kipato.

Tazama video hii, hawa wameamua kupanga mikokoteni yao ya kubebea mizigo na kuifanya daraja. Ukitaka kuvuka hapa unatakiwa kulipa. Hivyo kwa mafuriko ni chanzo cha mapato

Comments

error: Content is protected !!