tmoja2

Video: Magoli mawili aliyoyafunga Mbwana Samatta Agosti 21

8599
0
Share:
Share this
tmoja2

Mshambuliaji wa kimataifa kutoka nchini Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya GENK ya nchini Ubelgiji amezidi kufanya vizuri akifumania nyavu za timu pinzani.

Katika mchezo uliochezwa leo Agosti 21, Mbwana Samatta ameifungia klabu yake ya GENK Magoli 2 na kuiwezesha kuibuka na ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Lokeren.

Tazama magoli yote hapa chini.

Comments

error: Content is protected !!