Video: Mmiliki wa Scandinavia alivyoibiwa fedha na majambazi

519
0
Share:
img_3286
Share this

Kamera za ulinzi zimenasa tukio la wizi alilofanyiwa mmiliki wa Scandinavia eneo la Kamata, Dar es Salaam.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa zilieleza kuwa mmiliki huyo wa Scandinavia aliyefahamika kwa jina la Muhammad aliibiwa dola za kimarekani 40,000 alipokuwa akitokea benki.

Video hapa chini zinaonyesha jinsi alivyovamiwa na majambazi hao na kuchukuliwa vitu hivyo.

Comments

error: Content is protected !!