Video: ‘Movie’ 10 zilizopakuliwa (downloaded) zaidi kinyume sheria mwaka 2016

446
0
Share:
Share this
CMTL Group

Watu wengi huwa hawana mazoea ya kununua filamu zinapotoka wao husubiria hadi zitakapowekwa kwenye mitandao na kisha kuzipakuwa.

Japokuwa kupakuwa huko filamu kutoka katika mitandao ni kosa kisheria, lakini kuna tovuti maalum ambazo unaweza kuzipata.

Kwa mwaka 2016, filamu ya Deadpool ndiyo iliyoongoza kwa kupakuwaliwa kutoka katika tovuti mbalimbali kinyume na sheria kwa mwaka huo.

Comments

error: Content is protected !!