Video: Mwanamuziki anayefanana na Harmonize na kuamua kujiita Harmo Rappa

1015
0
Share:
Share this
CMTL Group

Duniani wanasema kuwa watu wapo wawili wawili wakimaanisha kuwa kuna mtu ambaye huenda humfahamu lakini kwa muonekano wa sura umefanana naye.

Hii inakuja baada ya jamaa mmoja aliyesema kuwa anafanya muziki wa Hip Hop kujiita Harmo Rapper sababu anafanana na mwanamuziki Harmonize.

Alisema kuwa watu wengi humfananisha na Harmonize kitu ambacho yeye anakifurahia  na hivyo kuamua kujiita jina ambalo kwa kiasi linafanana na la Harmonize.

Aidha alisema kufanana huko na Harmonize kunamsaidia kwani hata uongozi wake unaomsimamia sasa ulichukua jukumu hilo sababu tu anafanana na Harmonize. Hapa chini ni video yake alipofanya mahojiano na kipindu cha E- News cha EATV.

Comments

error: Content is protected !!