tmoja2

Video: Mwanaume alivyopata wakati mgumu kununua mpira wa kiume (condom) dukani

365
0
Share:
Share this
tmoja2

Kwa baadhi ya wanaume hupata wakati mgumu sana wanapokwenda kwenye maduka ya dawa au maduka mengine kununua mipira ya kiume (Condoms) kwa ajili ya kwenda kujamiiana.

Wengi hushindiwa kusema moja kwa moja kuwa ni kitu gani hasa wanahitaji na kubaki kujizungusha zungusha wakisubiri watu wapungue au waishe ile yeye abaki peke yake na muuza duka aeleze shida yake.

Lakini hali huwa ni ngumu zaidi pale wanapokuta muuza duka ni mwanamke. Wengi huogopa kusema wanataka nini sababu hawataki kujulikana wanachokwenda kufanya.

Hapa chini ni video ikimuonyesha mwanaume mmoja akipata wakati mgumu kusema anataka nini katika duka la dawa na kujikuta akiagiza dawa nyingine ambazo hazihitaji.

Comments

error: Content is protected !!