tmoja2

Video: Tazama video ya Lameck Ditto – Moyo Sukuma damu (Official Video)

740
0
Share:
Share this
tmoja2

Mwanamuziki Lameck Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Moyo Sukuma Damu.

Wimbo huu wa Lameck Ditto ameutoa ikiwa ni takribani baada ya miaka mitano ya kimya chake katika tasnia ya muziki nchini Tanzania, na tangu ameutoa umekuwa ukifanya vizuri katika vituo mbalimbali vya redio.

Hapa chini ni video rasmi ya wimbo Moyo Sukuma Damu wake Lameck Ditto.

 

Comments

error: Content is protected !!