tmoja2

Video: Wimbo Masanja Mkandamizaji aliomuimbia mke wake, Monica

445
0
Share:
Share this
tmoja2

Mchekeshaji, Mchungaji na mjasiriamali maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Magaya maarufu Masanja Mkanda ametoa wimbo wake aliomshirikisha Walter Chilambo ambao ni maalumu kwa jili ya mke wake Monica.

Wimbo huo unaokwenda kwa jina la Monica ni maboresho ya wimbo ‘Siachi’ ulioimbwa na mwanamuziki Walter Chilambo kabla hajaachana na bongo fleva na kugeukia nyimbo za dini.

Msanja Mkanadamizaji na mkewe Monica walifunga ndoa mwaka huu mwezi Agosti. Hapa chini ni video ya Masanja Ft. Walter Chilambo- Monica.

 

Comments

error: Content is protected !!