tmoja2

KIPANDE CHA VIDEO YA WIMBO WA NDI NDI NDI (LADY JAY DEE)

152
0
Share:
Share this
tmoja2

Hiki ni kipande cha cha Video kwenye wimbo wa Judith Wambura a.k.a Lady Jay Dee #NdiNdiNdi. Wimbo huu aliutoa mapema mwezi uliopita baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.

Lady Jay Dee inasemekana kuwa ndio msanii mwenye Tuzo nyingi zaidi Tanzania akifuatiwa na Diamond Platinumz.

Video hii itazinduliwa rasmi leo ambapo wananchi wamekua na shauku kubwa kuona video hiyo ambapo wengi wameamini kuwa itakuwa nzuri. Wamemsifu Lady Jay Dee kuwa ameamka tena kama alivyosema.

WEW

VIDEO: Ndi Ndi Ndi

Comments

error: Content is protected !!