Vifahamu vikapu vinavyotumiwa kuchemsha maji na kupikia nchini Tanzania

316
0
Share:
Share this
CMTL Group

Nailoni na majani ambayo ni takataka katika mazingira vinatumiwa kutengeneza vikapu ambavyo vinaweza kuchemsha maji pamoja na chakula.

Ubunifu huu unaosaidia kutunza mazingira na kupunguza gharama, unafanyika mkoani Manyara, wilaya ya babati kaskazini mwa Tanzania.

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alizungumza na mmoja wa akina mama wanaotengeneza vikapu hivyo.

-bbcswahili

Comments

error: Content is protected !!