tmoja2

Vyuo 5 vilivyofutiwa usajili leo

320
0
Share:
Share this
tmoja2

Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi (NACTE) lavifutia usajili vyuo 5 nchini , 41 vyafungiwa kuendesha mafunzo na 175 vapewa notisi ya kushushwa hadhi.

Vyuo vilivyofutiwa usajili ni;-

  1. State College of Health and Allied Sciences- Dar es Salaam.
  2. Zoom Polytechnic College- Dar es Salaam.
  3. Thabita College- Dar es Salaam (formerly, Thabita Vocational College- Dar es Salaam)
  4. Financial Training Centre- Dar es Salaam.
  5. TMBI College of Business and Finance- Dar es Salaam.

 

Comments

error: Content is protected !!