tmoja2

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEWASILI KATIKA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA (ALAT) DODOMA.

100
0
Share:
Share this
tmoja2

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mh Kassim Majaliwa Kassim amekwisha wasili katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) unaondelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Dodoma (Dodoma Convention Center) . Aliyekuwa awe Mgeni Rasmi katika mkutano huu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli lakini kutokana na majukumu mengine ya Kitaifa hataweza kufika hivyo Waziri Mkuu ndiye atakayekuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano akimuwakilisha Mh.  Rais Magufuli.

IMG-20160408-WA0159

Comments

error: Content is protected !!