tmoja2

Zilizotufikia hivi punde: Basi la abiria “Safari Njema” linalofanya safari kati ya Dodoma na Dar Es Salaam limewaka moto

694
0
Share:
Share this
tmoja2

Basi la “Safari Njema” linalofanya safari kati ya Dodoma na Dar Es Salaam likiwaka moto jioni hii, Kimara. Chanzo cha moto hakijafahamika.

Comments

error: Content is protected !!