Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Majina ya Watumishi 183 wa Wizara ya Ardhi waliosimamishwa kazi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi  amewasimamisha kazi watumishi 183 wa wizara hiyo kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili.

Watumishi hao ambao waziri huyo amekabidhi majina yao Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa ajili ya uchunguzi, wanadaiwa  kuingilia mfumo wa kukadiria na kukusanya kodi ya pango ya ardhi kinyume na taratibu na kusababisha upotevu wa mapato ya Serikali.

Pakua orodha ya majina ya watumishi waliosimamishwa hapa chini:

Bitnami