Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya majina 698 ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa…
Na Veronica Kazimoto-Dar es Salaam Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora…
Rais Dkt Magufuli amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Mkoani Geita kuanza mara moja upanuzi wa majengo ya…
Na; Makendi Aloyce (Mwanasheria) DHANA YA NDOA (PRESUMPTION OF MARRIAGE) Ndugu msomaji, unaweza kuwa na maswali mengi juu ya wapenzi…
Watu wengi hupata wakati mgumu wanapokwenda kununua tairi au matairi kwa ajili ya gari au magari yake kwa sababu hajui…
Tangu kuingia kwa Internet Tanzania na Dunia nzima, Biashara nyingi zimepata namna ya kujitangaza kwa kufikia wateja wao kwa urahisi,…
Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa ukuaji wa asilimia 5.6 mwaka huu, ambapo ukuaji unatarajiwa…
Tanzania, Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo jana Jumanne Disemba 3, 2019 zilisaini makubaliano ya kujenga reli ya kisasa…
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Disemba 4, 2019 ametangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa kimeshtushwa kuona mwanachama wake ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akitumia…