Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Mubashara: Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza ambazo zinafanyika sherehe za maadhimisho ya
sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri.

Kauli mbiu ya sherehe hizo ni “Miaka 58 ya Uhuru na miaka 57 ya Jamhuri: Uzalendo, Uwajibikaji na Ubunifu ni Msingi wa Ujenzi wa Uchumi wa Taifa Letu.”

Maadhimisho haya yanafanyika mkoani Mwanza kwa mara ya kwanza. Mara nyingi yamekuwa yakifanyika jijini Dar es Salaam na Makao Makuu ya Nchi, jijini Dodoma.

Bitnami