Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Shule 21 zilizoonja 10 bora Kidato cha Nne kuanzia mwaka 2015

Kila mwaka matokeo ya kidato cha nne yanapotoka mbali na kujua matokeo ya watoto au ndugu zao, wengi hupenda kujua shule 10 vinara nchini. Baadhi hutumia takwimu hizo kufanya maamuzi ya shule za kuwapeleka watoto au ndugu zao. 

Uchambuzi wa matokeo ya Kidato cha Nnne (CSEE) uliofanywa na Swahili Times katika kipindi cha miaka minne ya hivi karibuni (2015, 2016, 2017 na 2018) umebaini kuwa ni shule 21 tu kati ya shule zaidi ya  4,000 za sekondari zilizopo chini ambazo zimeonja angalau mara moja nafasi ya shule 10 vinara. 

Hapa chini ni orodha ya shule hizo, mkoa ilipo na mwaka/miaka ambayo iliingia katika shule 10 vinara.

Bitnami