Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Tazama hapa matokeo ya mitihani ya kidato cha pili na nne mwaka 2019

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa upimaji darasa la nne, kidato cha pili na kidato cha nne.

Matokeo darasa la nne:
Jumla ya watahiniwa: 1,665,863
Waliopata alama A,B,C na D: 1,531,120

Matokeo kidato cha pili:
Jumla ya watahiniwa: 571,137
Waliofaulu: 514,251

Matokeo ya kidato cha nne:
Jumla ya watahiniwa: 422,722
Waliofaulu: 340,914

Matokeo kidato cha pili hapa

Matokeo kidato cha nne hapa

Bitnami