Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Mwalimu St. Francis ataja siri 7 wanafunzi wao wote kupata daraja la kwanza

Katikati ya juma hili Baraza la Mitihani nchini (NECTA) lilitangaza matokeo ya kidato cha nne ambapo wanafunzi wote 91 wa shule ya wasichana ya St. Francis iliyopo mkoani Mbeya wamepata daraja la kwanza (divisheni one). Katika orodha hiyo ya wanafunzi 91, wanafunzi 57 wamepata daraja ya juu kabisa ya points 7 (Division 1.7). Akizungumza na vyombo vya habari mmoja ya waalimu wa shule hiyo Bwana Leonard Peter anayefundisha Kiingereza na Historia shuleni hapo amesema pamoja na mambo mengine, mambo 7 yafuatayo yamechangia kwa kiasi kikubwa matokeo hayo mazuri.


1. Ushirikiano kati waalimu, wanafunzi na utawala wa shule jambo ambalo linawezesha kila mtu kutimiza wajibu wake katika mazingira yenye utulivu.

2. Mazingira mazuri (shule ilipo, madarasa ya kutosha, mabweni, vyoo na mahitaji mengine sawa na hayo)

4. Maktaba bora

5. Maabara yenye vifaa vya kutosha

6. Waalimu wa kutosha na wanaojituma

7. Ibada

Bitnami