Header Ad

zinazosomwa zaidi

Most Viewed

Wanamuziki wa Tanzania walioongoza kwa kazi zao kutazamwa zaidi YouTube kwa mwezi Januari 2020

Hapa chini ni orodha ya wanamuziki walioongoza kwa kazi zao kutazamwa zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwezi Januari mwaka 2020. Orodha hii imeandaliwa kwa msaada wa takwimu za Youtube kwa kuchukua jumla ya namba ya watazamaji wa chaneli (lifetime views) ya Januari 31 2020 na kutoa ile ya Disemba 2019. Wastani ni katika mamilioni.

10. Ommy Dimpoz 1,700,000

9. Nandy 1,700,000

8. Marioo 1,900,000

7. Aslay 3,600,000

6. Lava Lava 3,700,000

5. Mbosso 8,100,000

4. Ali Kiba 8,200,000 (Hii imechukua jumla ya chaneli zote mbili ya Ali Kiba na Kings Music Record)

3. RayVanny 11,600,000

2. Harmonize 11,700,000

1. Diamond Platnumz 38,500,000

Bitnami