Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara afariki dunia

938
0
Share:
Share this
  • 1.4K
    Shares

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Taifa Muhimbili leo Disemba 6, 2017.

Bendera alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara hadi Oktoba 2017 kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Alexander Pastory Mnyeti aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitaendelea kukujia.

 

Comments

error: Content is protected !!