Bei elekezi za mafuta kuanzia 1 Agosti 2018

1608
0
Share:
Share this
  • 6
    Shares

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika kuanzia kesho Agosti Mosi 2018.

Bei ya rejareja ya petroli na dizeli imeshuka ambapo petroli imeshuka kwa TZS 25 kwa lita, dizeli TZS 28 kwa lita huku mafuta ya taa yakipanda kwa TZS 78 kwa lita.

Hapa chini ni bei elekezi zilizotolewa na EWURA kwa mwezi Agosti.

Comments

error: Content is protected !!