BREAKING: Lawrence Masha ajivua uanachama CHADEMA

912
0
Share:
Share this
  • 1.8K
    Shares

Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Kego Masha, ametangaza kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kueleza kuwa upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda serikali mpya.

Masha ameyasema hayo kupitia barua yake ya kujivua uanachama aliyoiandika na kueleza kuwa uamuzi alioufanya utampa fursa ya kutafakari kwa kina safari yake ya kisiasa nchini.

Masha amechukua uamuzi huo ikiwa ni miaka miwili tu imepita tangu alipojivua uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo mwaka 2015.

Hii hapa chini ni barua ya kujivua uanachama iliyoandikwa na Lawrence Masha.

Comments

error: Content is protected !!